TAKWIMU: Je? unajua Donald Trump ndie Rais asie kubalika Duniani

Rais Donald Trump wa Marekani ametajwa kama Rais asiyekubalika zaidi kuwahi kuchaguliwa na Taifa hilo takwimu zikionesha zaidi ya 80% ya wananchi hawampendi na zaidi ya 40% ya waliomchagua kujutia uamuzi wao, kwa mujibu wa Taasisi ya utafiti ya Pew Research Center.
Utafiti huo pia umeonesha Rais Trumpameisababishia Marekani kupoteza nguvu na ushawishi duniani ambapo zaidi ya nchi 37 zilizohusishwa kwenye utafiti huo ni nchi mbili pekee Urusi naIsrael zilionesha kumkubali Rais huyo.
Sababu kubwa ziliyotajwa Trumpkutokubalika ukilinganisha na mtangulizi wake Barack Obama ni sera yake ya kuwafukuza wahamiaji na kujenga ukuta kuitenganisha nchi yake na Mexico.
Aidha, Utafiti umeonesha kuwa Rais mstaafu Obama bado anakubalika kwa 90% Korea Kusini na Trump akikubalika kwa 10% huku Israel ikionekana kumkubali zaidi Trump kwa 56% naObama akikubalika kwa 49%.

Comments

Most Viewed in KevNationmedia

Mapenzi: style za kufanya mapenzi na mwanamke/msichana mjamzito

Newz: Je? unayajua madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa mda mrefu?