Music: Wizkid azidi kuonyesha yeye ni mwamba wa Afrika
Wizkid azidi kujiweka kwenye level zakipekee ambapo sio rahisi kwa wasanii wengine wa Africa kuweza kumfikia kirahisi. Hii ni baada yamuimbaji huyo wa Nigeria kufanya ngoma nastaa wakubwa Duniani kama chris brown, Drake na Ty dolla $ign. Sasa ameamua kuja na ngoma mpya" Naughty ride" aliyowashirikisha kundi la muziki la Major lazer kutoka Marekani
Msanii huyo baada ya kuachia wimbo huo aliandika kupitia mtandao wa twitter " Just here to spread good vibes!! Positive energy everyday!
Msanii huyo baada ya kuachia wimbo huo aliandika kupitia mtandao wa twitter " Just here to spread good vibes!! Positive energy everyday!
Comments
Post a Comment