Je? Unaamini Ray Kigosi anajichubua, Anahili na kukuambia.
Msanii wa filamu nchini Bongo, Ray Kigosi amendelea kusisitiza kuwa weupe wake unatokana na kufanya mazoezi na si kujichubia kamawengi wanavyozani katika mtandao wa instagram ameandika haya" Kuna wakati mwingine ukikaa kimya unaweza ukafanya uongo kua ukweli....swali langu ni nyie mnao sema najichubua hivi kweli mnajua MTU naejichubua ameandika na kuendelea
" Embu niangalieni vizuri mtapata jibu, tatizo letu sisi watanzania tunapenda sana kuamini uongo kuliko ukweli. Walishakuambia ukitaka kua na ngozi yenye nuru kama yangu Fanya mazoezi na kunywa maji mengi sana, hiyo ndio dawa mbona hata madokta wanalijua hilo

Comments
Post a Comment