Newz: Vanessa Mdee athibitisha kuachana na jux
Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amethibitisha kuachana na mpenzi wake Jux. Vanessa amethibitisha hilo kupitia Interview yake aliyofanya na kituo cha redio nchini Nigeria cha Soundcity Radio. Muimbaji huyo amebainisha kuwa kwa sasa kila mtu anaendelea na maisha yake. "Ash mi na yeye tulikua lakini sio tena kila mtu ana move_on na maisha yake" hayo ni maneno ya mrembo Hugo lakini hakuweza kutaja sababu ya kuachana kwao.
Comments
Post a Comment