Newz; Youngkiller ajibu mapigo kwa Ney wa mitego
Msanii wa hip hop anae tambaa na wimbo wa sinaga swagga "young killer" kumwashia moto msanii ney wa mitego alietoa nyimbo yake Siku ya alhamisi inayo tamba kwa jina la MOTO kumtaja katika mistari yake young killer Hivyo kumfanya young killer kuandika kwenye instagram kua "Nasikia kuna mtu kanidisi nay true boya" hivyo ndivyo alivyo andika.
Comments
Post a Comment