Newz: Diamond kuja na Bidhaa nyingine
Msanii kutoka Bongoflevani Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) June 29,2017 amezindua bidhaa yake mpya iitwayo
Diamond Karanga ambayo itakayopatikana maduka kote nchini Tanzania.
Itazame hii video hapa ujionee jinsi
Diamond Platnumz alivyoizindua bidhaa hiyo
Diamond Karanga ambayo itakayopatikana maduka kote nchini Tanzania.
Itazame hii video hapa ujionee jinsi
Diamond Platnumz alivyoizindua bidhaa hiyo
Comments
Post a Comment