Posts

Showing posts from June, 2017

Newz: Wema sepetu aanza kuimba Bongo Fleva.

Image
Imebainika kuwa msanii wa Filamu Bongo, Wema Sepetu ameamua kuingia kwenye muzuki wa Bongo Fleva. Prodyuza kutoka MJ Records, Daxo Chali ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa Wema Sepetu ameshiriksha katika wimbo wa Haitham ambao unatoka kesho, na kubainisha kuwa Wema ni muimbaji mzuri. Daxo ameeleza kuwa awali alitaka wimbo huo afanye mwenyewe Haitham na ulipokamilika aliona kuna haja ya mtu mwingine kuwepo katika ngoma hiyo ingawa alisita kutokana Haitham wimbo wake wa kwanza alimshirikisha Mwana FA hivyo watu wataona anabebwa lakini alipokaa na kuweza aliona Wema anafaa ndipo wakamtafuta. “Kuna siku kweli akaja, so tukamuingiza studio tukamuonyesha mashairi aingize wala hakusumbua, kwanza Wema anajua kuimba sema watu wengi hawajui ilo suala ila kitu kilichokuwa kinamsumbua sana ni zile melodi kwa sababu ile ngoma ni ya kiswahili lakini imeimbwa kama kifaransa, so ndio kitu kilichokuwa kinamsumbua sana ni kutamka yale maneno  lakini kwenye kukaa kwenye key yupo vizuri ...

MICHEZO: Messi kufunga harusi na Antonella

Image
Usiku wa Ijumaa ya June 30 staa wa soka wa kimataifa wa Argentina anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi alifunga ndoa na mpenzi wake wa toka utotoni Antonella Roccuzzo ambaye pia wamezaa nae watoto wawili wa kiume. Staa wa zamani wa FC Barcelona Samuel Eto’o na mkewe Messi na Antonella Roccuzzo walifahamiana toka Lionel Messi akiwa na umri wa miaka mitano na Antonella Roccuzzo ambaye ni mke wake kwa sasa akiwa na umri wa miaka 4, wameamua kufunga ndoa kwao Argentina ndoa ambayo ilihudhuriwa na wachezaji wenzake na marafiki zake mbalimbali. Mastaa wa soka ambao Messi alicheza nao Barcelona kutoka kushoto Xavi na mkewe, Fabregas na mpenzi wake na Puyol na mkewe Zaidi ya marafiki wa Lionel Messi wanaofikia 250 walisafiri kwa ndege binafsi kuelekea Argentina kuhudhuria harusi ya staa huyo ambayo simu za mkononi zilikuwa zimefungiwa kufanya kazi ndani ya ukumbi sherehe ilipo kwa lengo la kuweka privacy pamoja na ulinzi wa askari zaidi ya 450. Lionel Messi na mpenzi wake An...

UTAFITI: Je unajua kufanya mapenzi kunaongeza umri wa kuishi

Image
Kama wewe ni moja ya watu ambao hufanya mapenzi kwa msimu basi utakuwa upo kwenye hatari ya kupunguza umri wa kuishi duniani hii ni kwa mujibu wa tafiti. Watafiti kutoka chuo cha Coventry University cha nchini Uingereza wamebaini kuwa kufanya mapenzi mara kwa mara kwa watu wenye umri kuanzia miaka 28 kwenda juu huimarisha afya zao na kuongeza nguvu ya ubongo kufanya kazi kikamilifu kuliko wale ambao wanafanya kwa msimu. Watafiti hao walibaini kuwa watu ambao wanafanya mapenzi mara kwa mara hupunguza msongo wa mawazo hivyo huimarisha afya ya moyo na kupunguza uwezekano wa kupatwa na magonjwa ya moyo kama Shinikizo la damu (High Blood Pressure), Koronari za moyo (Coronary Heart Diseases), Mshituko wa moyo (Heart Attack), Peripheral Vascular Disease magonjwa ambayo huwakumba watu wenye umri mkubwa. Watafiti hao mbali ya kuorodhesha magonjwa ambayo utayaepuka kutokana endambo utafanya mapenzi mara kwa mara wamesema walichukua idadi ya watu 5000 kutoka nchi 10 tofauti tofauti w...

New video || Diamond ft Rayvanny - Karanga

Image
                                                Download: Diamond ft Rayvanny - Karanga

Fahamu jinsi ya kumpagawisha mwanamke

Image
Kuna vitu vingi ambavyo unaweza kutumia kwa manufaa yako ili kufanya wanawake wakuone unavutia. Amini usiamini, hivi vitu si lazima uwe tajiri wala uwe na urembo wowote. Mwanzo kati ya vitu hivyo vingi ni rahisi kuvitumia kwa urahisi. Hii hapa ni orodha ya mambo ambayo ukiyazingatia yatakufanya wewe uwe na mnato kwa mwanamke yeyote yule. 1. Uwezo wako wa nishati Nishati inaweza kuwa na mkusanyiko wa vitu kadhaa, kama vile kuhisi kwa vipepeo ndani ya tumbo, kusuka, wasiwasi ama vitu tofauti kabisa. Kwa mtizamo wa moja kwa moja, nishati inahusiana na yote yale ambayo yanamfanya mwanamke kujiskia raha wakati anapokuona ama kutaka kuutumia muda wake mwingi akiwa na wewe. Nishati inacheza nafasi kubwa katika mapenzi kama wataka kumtongoza mwanamke na ufaulu kwa urahisi. Ili kupeana nishati zaidi kila wakati unapokuwa na mwanamke, hakikisha kile kikuu unachohitaji kufanya ni kumchekesha, kumsapraiz, umguse kwa bahati mbaya mara kwa mara, kuwa mwenye michezo nk. Zote hizo zitamfanya kukuf...

Ndondoo za urembo: Jinsi ya kufanya ngozi yako kua na afya na mng'ao kwa kutumia vitu asilia

Image
Uzuri wa ngozi sio rangi tu bali ni muonekano wa ngozi yenyewe kwamba ina afya na mng'ao unaoashiria afya njema. Leo tushirikishane jinsi ya kufanya facial treatment kwa kutumia vitu vya jikoni kama kiini cha yai,machicha ya nazi,tango na limao.Treatment hii inaweza kufanyika Mara moja kwa wiki au kila baada ya wiki mbili, unaweza kufanya hata mara moja kwa mwezi ukipata nafasi kama unakuwa busy sana lkn matokeo mazuri utayashuhudia. JINSI YA KUFANYA Andaa maji masafi yenye joto kiasi unachomudu ktk ngozi yako, osha uso wako kwa hayo maji safi . Kama una ngozi kavu au ya kati chukua kipande cha tango kidogo na upake yale maji yake usoni, kwa wenye ngozi ya mafuta unaweza kutumia kipande cha limao kwa kupaka maji yake. Chukua pamba au kitambaa laini na futa maji ya matunda usoni kwa mtindo wa kusafisha taratibu usoni. Chukua machicha ya nazi na Anza kuusugua uso  na shingoni taratibu Mpaka uridhike uso wote umepitiwa na machicha yako hasa unapoona unang'aa kwa mafuta kido...

Newz: Diamond kuja na Bidhaa nyingine

Image
Msanii kutoka Bongoflevani Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) June 29,2017 amezindua bidhaa yake mpya iitwayo Diamond Karanga ambayo itakayopatikana maduka kote nchini Tanzania. Itazame hii video hapa ujionee jinsi Diamond Platnumz alivyoizindua bidhaa hiyo

Mambo Matano(5) Yakufanya ili kufanikiwa.

Image
Siku zote maisha ya binadamu yanaongozwa na uchaguzi tunaoufanya kila siku. Uchaguzi huo ndio unatufanya tuwe na maisha haya au yale. Kama uchaguzi unaoufanya ni mbovu kila siku, basi ni wazi na maisha yatakuwa mabovu vilevile. Na kama uchaguzi wako ni mzuri, halikadharika na maisha yako yatakuwa mazuri vivyo hivyo. Kitu cha kuwa makini nacho hapa, angalia uchaguzi unaoufanya kila siku na kila wakati. Uchaguzi huo ndio unaoamua maisha yako ya kesho yaweje. Kama ni hivyo, ni lazima kwetu kufanya uchaguzi utakaotupa maisha bora. Jaribu kujiuliza, ni uchaguzi wa mambo gani unaotakiwa kuufanya ili kukupa mafanikio makubwa? 1. Chagua kutumia fursa vizuri. Kwa fursa yoyote inayojitokeza mbele yako, jifunze kuitumia vizuri. Kama ni fursa ya kibiashara au elimu itumie vizuri mpaka uone mafanikio yake. Acha kucheza na fursa yoyote ya kimafanikio inayojitokeza mbele yako. Ikiwa utafanya hivyo elewa ni lazima ipo siku utakuja kujuta kwa uamuzi ulioufanya leo. Kuna watu ambao wameshindwa kufan...

Uhead: Umesikia ya mama wa mombasa kumletea Alikiba Mtoto?

Image
Leo June 29, 2017 kwenye XXL ya Clouds FM Soudy Brown ametuletea hii inayomhusu mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba anayedaiwa kufuatwa na mwanamke aliyetoka Mombasa Kenya hadi Tanzania akiwa na mtoto anayedai ni wa AliKiba hivyo anahitaji matunzo ya mtoto. Inadaiwa mwanamke huyo alikutana na Alikiba alipokuwa kwenye show Mombasa na amekuja Tanzania ili kupata haki yake kwa kuwa tangu ajifungue hakuwa na mawasiliano naye. Soudy Brown alimtafuta Alikiba ili kujua ukweli na majibu yake yalikuwa: “Dada gani..? Amlete mtoto sasa. Kama kuna mtu anaongea hivyo vitu si unaenda unamuona na unamsikiliza na kama ana mtoto lazima apime damu (DNA).” – Alikiba.

TAKWIMU: Je? unajua Donald Trump ndie Rais asie kubalika Duniani

Image
Rais  Donald Trump  wa Marekani ametajwa kama Rais asiyekubalika zaidi kuwahi kuchaguliwa na Taifa hilo takwimu zikionesha zaidi ya 80% ya wananchi hawampendi na zaidi ya 40% ya waliomchagua kujutia uamuzi wao, kwa mujibu wa Taasisi ya utafiti ya  Pew Research Center. Utafiti huo pia umeonesha Rais  Trump ameisababishia Marekani kupoteza nguvu na ushawishi duniani ambapo zaidi ya nchi 37 zilizohusishwa kwenye utafiti huo ni nchi mbili pekee  Urusi  na Israel  zilionesha kumkubali Rais huyo. Sababu kubwa ziliyotajwa  Trump kutokubalika ukilinganisha na mtangulizi wake  Barack Obama  ni sera yake ya kuwafukuza wahamiaji na kujenga ukuta kuitenganisha nchi yake na  Mexico. Aidha, Utafiti umeonesha kuwa Rais mstaafu  Obama  bado anakubalika kwa 90%  Korea Kusini  na  Trump  akikubalika kwa 10% huku  Israel   ikionekana kumkubali zaidi  Trump  kwa 56% na Obama   akikubalika kw...

Michezo: Rooney kucheza kwa masharti united

Image
Aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Wales na klabu ya Manchester United, Ryan Joseph Giggs amesema, Wayne Rooney ataweza kusalia katika kikosi cha United endapo atakubaliana na masharti ya kutochezeshwa kila mchezo utakao ikabili timu hiyo. Mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Man Unite, Wayne Rooney akionekana kuchukizwa na kutopangwa katika timu yake Rooney ambaye hakukata tamaa katika msimu wa mwaka 2016/17 baada ya kutochezeshwa katika michezo kadhaa chini ya kocha, Jose Mourinho alikaririwa akisema kuwa angeamua hatima yake baada ya kumalizika kwa ligi kuu nchini Uingereza lakini mpaka sasa mchezaji huyo ameshindwa kuonyesha dalili yoyote ya kuondoka United.

Newz: Roma akiri alitelekezwa na serikali

Image
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Roma Mkatoliki amefunguka na kusema kuwa ingawaje Serikali ilimsaidia mpaka kupatikana kwake kipindi alipotekwa  lakini haikumsaidia chochote mpaka kupona kwake. Roma Mkatoliki akiwaonesha majeraha waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiwa na watekaji  . Roma na wenzake wanne ambao walitekwa na watu wasiojulikana mwanzoni mwa mwaka huu na kupata majeraha makubwa kwenye mwili wake amekiri wazi kuwa Serikali haikumsaidia chochote mpaka anapona zaidi ya ndugu, Jamaa,marafiki na familia yake. “ Lahashaa! Hapana juu kwa juu tuu polisi, polisi Mwananyamala PF3 sijui nini ile, baada ya pale nikajiongoza mimi mwenyewe na familia yangu,so ikawa hivyo tuu “amesema Roma Hata hivyo Roma amesema ameshawasamehe na amewasahau wote waliohusika na kutekwa kwake ila amewaweka wazi tuu Watanzania kuwa hakusaidiwa chochote na Serikali katika kuuguza majeraha aliyoyapata baada ya kutekwa. “ Yaliyopita yamepita tunasamehe,tunasahau waliohusika Mungu...

BET Award 2017: Remy ma amchakaza Nick Minaj, Beyonce, chance the rapper, wachukua tuzo (Orodha kamili)

Image
Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na sherehe za ugawaji wa tuzo za BET jijini Los Angeles nchini Marekani, Tuzo ambazo watu wengi walikuwa wakisubiria kwa hamu kujua mshindi wa kipegele cha  Best Female Hip-Hop Artist  ambapo kulikuwa na majina makubwa kama Nicki Minaj, Remy Ma,Cardi B Missy Elliott na Young M.A ambapo Remy Ma ameibuka mshindi na kumnyamazisha hasimu wake Nicki Minaj. Remy Ma Washindi wengine ni mama wa mapacha wawili, Beyonce ambaye ameibuka na tuzo 5 kutoka kwenye vipengele vya Muimbaji bora wa kike wa RnB/Pop, Album bora ya mwaka ( Lemonade) , Video bora ya mwaka (Sorry) , Muonozaji bora wa video wa mwaka ambapo tuzo wamegawana na Kahlil Joseph kupitia video ya wimbo wa (Sorry) na tuzo yake ya tano kachukua kwenye kipengele cha   Viewers’ Choice Award  . Chance The Rapper Msanii mwingine aliyeibuka kidedea kwa kukwara tuzo nyingi ni Chance The Rapper ameibuka na Tuzo tatu kutoka kwenye vipengele vya Best New Artist,Best Collaborati...

Newz: Roma aitikisa Dar live kwa kushushwa stejini na Crane

Image
STAA wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa ‘R.O.M.A Mkatoliki’ kwa mara ya kwanza ameweka historia katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar live baada ya kutua akiwa ndani ya ‘crane’ akitokea nje ya ukumbi. Katika shoo hiyo iliyowakutanisha mastaa kibao wakiwemo Stamina, Mr. Blue, Snura, Darassa na Madee, Roma aliingia akiwa katika vazi jeupe na kupiga nyimbo zake kibao zikiwemo K, Viva Roma Viva, Tanzania na Usimsahau Mchizi. Kivutio kingine kilichoteka ukumbini ni pale alipoingia na msanii mwenzake ambaye walitekwa naye hivi karibuni, Moni ambapo waliingia wakiwa wamefungwa vitambaa usoni mithili ya mtu aliyetekwa.

Je? unajua jinsi kuongeza akaunti ya pili yenye namba tofauti ya What'sapp kwenye simu yako

Image
Utumiaji wa simu za smartphone umeweza kusababisha kuanzishwa kwa app nyingi zaidi duniani, hivyyo kupeleka watumiaji kutamani kuongeza application hizo kila kukicha. Application ya whatsapp ni moja ya app inayotumiwa zaidi kwa sasa, kwa kuzingatia hilo wameamua kuongeza whatsappna kuwa mbili kwenye simu yako. Hivyo basi unaweza kufuta maelekezo ilikuweka whatsapp hiyo katika simu. Hatua ya kwanza Download App inayoitwa parallel space kwenye play store Hatua ya pili Kama simu yako ni line moja basi weka line nyingine ambayo unataka iwe whatsapp yako ya pili Hatua ya tatu. Install application uliyo download kwenye Step 1(parallel space ), kisha ifungue. Hatua ya nne Utakapofika kwenye kipengele kinachotaka kuweka number ya simu hapo utaweka namba yako ya pili ili uweze kuwa na whatsapp mbili Hatua ya tano. Utaendelea na Steps za kawaida utakazo onyeshwa kama ulivyojiunga na whatsapp ya kwanza. Hitimisho: Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka na kuanza kutumi...

Newz: Harmorapa afumaniwa mchana kweupe akinunua kanzu ya Eid

Image
Harmorapa ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, amebambwa katika soko la  Kariakoo jijini Dar kwenye  duka moja maarufu la kuuza kanzu linaloitwa Kanzu Empire, akijinunulia kanzu kwa ajili  ya Sikukuu ya Idd inayotarajiwa kuwa Jumapili au Jumataju ijayo. Akizungumza na mtandao wa Global Publishers, Hamorapa sliyeongozana na  bosi wake, Irene Sabuka alisema  ameona ajipongeze kwa kujinunulia kanzu nzuri baada ya kufanikiwa kufunga mwezi mzima wa  Ramadhan bila kupumzika. Jina lake halisi msanii huyu asiyeishiwa kiki ni Athuman Omary. “ Yaani nimekuja dukani hapa  kujipongeza kwa kujinunulia kanzu nzuri  kwa sababu niliweza kufunga mwezi mzima hivyo nikaona natakiwa kwenda msikitini nikiwa nimependeza” alisema Hamorapa.

Newz: Rayvanny aibuka na tuzo ya BET

Image
Hatimaye kwa mara ya kwanza Tanzania imefanikiwa kunyakua tuzo ya BET. Tuzo hizo ambazo zimegaiwa usiku huu mjini Los Angeles, katika ukumbi wa Microsoft Theater Centre, Rayvanny ambaye alikuwa akiwania tuzo hizo kupitia kipengele cha Viewer’s Choice Best New International Act amefanikiwa kuibuka kidedea. Wasanii wengine ambao alikuwa akishindana nao katika kipengele hicho ni Dave (Uingereza), Amanda Black (Afrika Kusini), Changmo (Korea Kusini), Daniel Caesar, Remi na Skip Marley (Jamica). Baada ya kushinda tuzo hiyo, Ray kupitia mtandao wake wa Instagram ameshukuru kwa kuandika, “God is good all the time.Asante Mungu wangu Ulieniumba,Unaejua mwanzo na mwisho wangu.Uliyaona machozi yangu nilipokua mpweke sina furaha na mwenye majonzi mengi.WEWE NDIYE MUWEZA…” “Asanteni wadau Wote mlio VOTE kwa Ajili yangu Ushindi umerudi Nyumbani.SITOACHA KUSHUKURU UONGOZI MZIMA #WCB @babutale @sallam_sk @Diamondplatnumz @mkubwafellatmk @kameboy_j @ricardomomo thanks Alot @bet_intl @betaw...

Newz: Nay kumjia juu young killer

Image
Baada ya Nay wa Mitego kuachia wimbo wake mpya ‘Moto’ambao ndani yake amewachana wasanii mbalimbali akiwemo rapa Young Killer Msodoki na baadaye Young Killer kuamua kumjibu kupitia wimbo ‘True Boya’, Nay amerudi kivingine tena   Rapa huyo ambaye ana tabia ya kuachia nyimbo za kuwachana wasanii wenzake, amepost video ya wimbo wake huo kupitia mtandao wa Instagram nakutuma maneno ambayo yanadaiwa kwenda kwa rapa huyo kutoka Mwanza. “Thanks @cloudsfmtz Muziki Sio kuandika tu Mistari, Nidhamu itakufanya Ufike Mbali. #Moto Bonyeza Link kwenye Bio ️apo Juu Kusikiliza,” aliandika Nay wa Mitego Insta Hata hivyo mashabiki wengi kupitia mitandao ya kijamii wamedai alichokifanya Young Killer Msodoki ni kitu sahihi kutokana na rapa huyo kuzoea kuwachana wasanii wenzake. Kupitia wimbo ‘Moto’ ya rapa huyo alimchana Young Killer kwamba ameshindwa muziki na anatakiwa kurudi nyumbani kwao Mwanza

Newz: Vanessa Mdee athibitisha kuachana na jux

Image
Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amethibitisha kuachana na mpenzi wake Jux.  Vanessa amethibitisha hilo kupitia Interview yake aliyofanya na kituo cha redio nchini Nigeria cha Soundcity Radio. Muimbaji huyo amebainisha kuwa kwa sasa kila mtu anaendelea na maisha yake. "Ash mi na yeye tulikua lakini sio tena kila mtu ana move_on na maisha yake"  hayo ni maneno ya mrembo Hugo lakini hakuweza kutaja sababu ya kuachana kwao.

New video || Lulu Diva - utamu

Image
                                                                          Download: Lulu Diva - utamu

Burudani: Alikiba sishindani kimziki

Image
Msanii wa bongo fleva, Ali kiba amewachana wale wasanii ambao wanataka kushindana nae kwa kusema katika mziki wake hakuna mtu wa kushindana nae kwani hafanyi mziki wa kushindana aliwexa kufunguka kwa kusema" kila binadamu yupo na tabia yake kuna wengine wanafanya vitu wanajua wanakosea ila wanafanya makusudi na kuna wengine wanakosea ila hawajui kama wanakosea so mimi kama mwanamziki sitaki kuwasikiliza hao kwa sababu nina target yangu ninavitu vya kufuatilia sitaki hats MTU yoyote anifuatilie kwenye target yangu kwa hiyo kama atawafuatilia atapotea" aliweza kusema hayo katika kituo cha radio cha capita nchini Kenya ambapo yupo katika kurekodi kipindi cha studio Africa season 5 na ameahidi kuachia ngoma muda so mrefu kwa kuwataka mashabiki wasimfosi kutoa ngoma kwani mziki anaofanya ni kwajiri yao pia.

Music: Wizkid azidi kuonyesha yeye ni mwamba wa Afrika

Image
Wizkid azidi kujiweka kwenye level zakipekee ambapo sio rahisi kwa wasanii wengine wa Africa kuweza kumfikia kirahisi. Hii ni baada yamuimbaji huyo wa Nigeria kufanya ngoma nastaa wakubwa Duniani kama chris brown, Drake na Ty dolla $ign. Sasa ameamua kuja na ngoma mpya" Naughty ride" aliyowashirikisha kundi la muziki la Major lazer kutoka Marekani Msanii huyo baada ya kuachia wimbo huo aliandika kupitia mtandao wa twitter "  Just here to spread good vibes!! Positive energy everyday!

Je? Unaamini Ray Kigosi anajichubua, Anahili na kukuambia.

Image
Msanii wa filamu nchini Bongo, Ray Kigosi amendelea kusisitiza kuwa weupe wake unatokana na kufanya mazoezi na si kujichubia kamawengi wanavyozani katika mtandao wa instagram ameandika haya"  Kuna wakati mwingine ukikaa kimya unaweza ukafanya uongo kua ukweli....swali langu ni nyie mnao sema najichubua hivi kweli mnajua MTU naejichubua ameandika na kuendelea              "  Embu  niangalieni vizuri mtapata jibu, tatizo letu sisi watanzania tunapenda sana kuamini uongo kuliko ukweli. Walishakuambia ukitaka kua na ngozi yenye nuru kama yangu Fanya mazoezi na kunywa maji mengi sana, hiyo ndio dawa mbona hata madokta wanalijua hilo 

Raisi wazamani wa Bostwana Afariki Dunia

Image
Nchi ya Bostwana inaazimisha msiba wa Raising wake was zamani, Sir ketumile Masire aliefariki usiku wa kuamkia Jana. Rais huyo aliweza kuongoza nchi hiyo toka mwaka 1980 hadi 1998 ambapo katika kipindi chake cha uongozi aliweza kuimalisha utilivu, amani pamoja na kujenga misingi bora ya mafanikio ya kiuchumi. Hivyo itakumbukwa kwa mengi alihofanya. R.I.P Sir ketumile masire

Download audio || T.I.T ft BigFizzo - katika

Image
                                                                     Download T.I.D ft BigFizzo - katika

New Audio || Shetta ft Rayvanny - Ulimbo

Image
Download Audio shetta ft rayvanny - Ulimbo

NEW AUDIO || Chid Benzi ft Q chillah - Muda

Image
Click to download                                                            https ://chid benz ft qchillah

Newz; Youngkiller ajibu mapigo kwa Ney wa mitego

Image
Msanii wa hip hop anae tambaa na wimbo wa sinaga swagga "young killer" kumwashia moto msanii ney wa mitego alietoa nyimbo yake Siku ya alhamisi inayo tamba kwa jina la MOTO kumtaja katika mistari yake young killer Hivyo kumfanya young killer kuandika kwenye instagram kua " Nasikia kuna mtu kanidisi nay true boya" hivyo  ndivyo alivyo andika.

Download video || Ben pol ft Darassa - Tatu official video

Image
Fanya kubonyeza"click" hapo chini                                                                     . Download here

MWISHOE BEN PAUL AMKUBALI EBITOKE

Image
Imekua ni mda sana toka msanii wa vichekesho anafaamika kama Ebitoke kusema amedata kimapenzi na msanii wa r&b anafaamika kama Ben Paul, mwishoe mambo yamekua mambo.